Tafuta katika Blogu Hii
"Karibu kwenye Talented Films — makazi rasmi ya wapenzi wa filamu na sanaa ya utengenezaji! Hapa utapata video za kipekee za ‘behind the scenes’, ripoti za filamu mpya, pamoja na mazungumzo na wachezaji na watengenezaji wa filamu. Tunakuleta pia viungo vya moja kwa moja vya YouTube ili usikose vipindi vyetu vipya na matukio ya kipekee. Jiunge nasi kujifunza, kufurahia, na kuungana na jamii ya wapenda filamu kupitia maudhui ya kuvutia na ya kina."
Featured post
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Back in days
Tulikuwa location moja ya kihistoria maeneo ya Bagamoyo tukirekodi short film "Ndani ya Ukuta" – hadithi ya kifungo cha kimya. Tukitumia Sony A6400 na natural light, tulipata fremu zenye hisia. Wahusika walivaa mavazi meusi na ukuta wa mawe uliongeza symbolism ya story. Kamera ilikuwa static kwa shots za huzuni na handheld kwa tension scenes. Hii ni kazi ya kutazama mara mbili.
#TalentedFilms #NdaniYaUkuta
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Machapisho Maarufu
LAST CHANCE | 23 | LAST CHANCE – Tamthilia Inayogusa Mioyo Kutoka Chinga Media Yazidi Kupaa YouTube
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
JINSI YA KUTENGENEZA MUSIC VIDEO EPISODE 1
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
PRESSURE [6] 💔 Pressure Episode 6 – Mvutano Waongezeka, Ukweli Waanza Kufichuka (Chado Master Film)
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Behind the Scenes: Nilipobeba Red Raven na Crane 3 – Kazi ya Kisanaa Iliyojaa Moto
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Kamera Nzuri za Kuanzia Nazo Kutengeneza Content –
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine

Maoni
Chapisha Maoni