Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Featured post

Behind the Scenes: Nilipobeba Red Raven na Crane 3 – Kazi ya Kisanaa Iliyojaa Moto

  Kuna wakati unapopiga picha ya kawaida. Kisha kuna wakati unaposhika silaha zako, ukiwa tayari kutengeneza kazi ya kisanaa itakayobeba hisia, uzito, na ubunifu wa kiwango cha juu. Katika picha hii ya behind the scenes, nilikuwa kwenye location, nikiwa nimeshika kamera ya RED Raven kwa mkono mmoja na gimbal ya Crane 3 kwa mkono mwingine — tayari kuunda magic nyuma ya lens. RED Raven si kamera ya kawaida. Ni silaha ya kweli kwa mtu anayejua thamani ya rangi, mwanga, na storytelling. Kamera hii inatumiwa na watayarishaji wa sinema kubwa duniani kwa sababu ina uwezo wa kunasa undani wa kila fremu kwa ubora wa sinema ya kweli. Ukiwa nayo mikononi, unajisikia kuwa sehemu ya kitu kikubwa zaidi ya wewe mwenyewe. Gimbal ya Crane 3 nayo ni kifaa kisichoweza kupuuzwa. Ili kuhakikisha kila mwendo wa kamera unakuwa laini, wenye utulivu na mvuto wa sinema, nilitegemea gimbal hii kama dereva tegemezi wa ubunifu wangu. Nilipokuwa kwenye shoot, niliweza kusogea mbele na nyuma, kupaa juu ya vi...

Mjasiriamali na Mwanzilishi wa Talented Films


Abasi Rajabu Sigera ni mwanzilishi wa brand ya Talented Films, inayojivunia ubunifu wa video na filamu tangu 2016. Alizaliwa tarehe 21 Machi 1991, na tangu kuanzisha Talented Films, amefanya kazi na wasanii wakubwa kama TID, Tunda Man, Ibraah, Longombazi na wengine wengi. Kazi zake zimewahi kuonyeshwa kwenye televisheni kubwa barani Afrika kama MTV na Trace Africa, zikitoa mwanga wa ubunifu wa Tanzania kwenye jukwaa la kimataifa. Pia amefanya kazi kwenye nyimbo ya kuhamasisha ushindi wa Simba Sports Club, iliyoandaliwa na Tunda Man.
 

Maoni

Machapisho Maarufu